×
Maandalizi: Salim Barahiyan

Umuhimu Wa Imani 09 (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu ya Maswahaba kufanya (Hijra ya kwanza) kuhama kutoka Makkah kwenda Habashi na yale waliyo jifunza, pia imezungumzia mbinu, njia na namna ya kufundisha.

Play
معلومات المادة باللغة العربية